Pages

Photography courses Announcement

Photography courses Announcement
Flame Tree Media Trust and Time School of Journalism announces Photography courses to begin soon at Talent Media Learning Centre at Ilala in Dar es Salaam, download this advert for more details.

Monday, May 31, 2010

Elibariki Mafore




Afisa Habari wa Mkoa, Elibariki Mafore katika mafunzo haya ya Effectice Rural Photojournalism Coaching (ERPC) alitupia macho changamoto za makundi maalumu yakiwamo yale ya wasio na makazi maalumu ambao wengi wao udhaniwa kuwa wamerukwa na akili.

Happy Severine - Elimu vijijini na changamoto zake



Happy Severine, ni Mwandishi mwandamizi mkoani mtwara, aliangalia zaidi changamoto za elimu na kushuka ama kupanda kwake Lindi Vijijini.


Aliangaza zaidi miundombinu ya shule pamoja na makazi ya walimu katika shule za Majengo, Mtamba na Sudi ktk wilaya ya Lindi Vijini.

Friday, May 28, 2010

Mary Mpandula na Elimu na mimba kwa wasichana

"ukitaka kumsaidia masikini somesha mtoto wake" Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwai kusema wakati fulani.



Mary Mpandula alimulika zaidi changamoto za elimu kwa watoto wa kike na zaidi ikiwa ni mimba zisizotarajiwa jinsi gani zimekuwa zikikatiza si tu ndoto za watoto wa kike kama Hatia na Hakika wa kijiji cha Nyangao, Wilaya ya Lindi vijijini katika Mkoa wa Lindi bali pia na wazazi wao, jamii na Taifa kwa ujumla.


Mary ni Mtangazaji wa kituo cha Pride FM mkoani Mtwara naye ni mara ya kwanza kabisa kushika kamera na kuhabarisha kwa nijai ya picha.



Utegele Ibrahim na Changamoto ya maji safi Mchinga



Utegele Ibrahim, ni Mwakilishi wa TBC Mkoani Lindi na ni Katibu wa LPC, yeye aliangalia changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama katika kjiji cha Mchinga Mbili ambapo wakazi wake wapatao 3000 wanategemea kisima cha Msikiti wa Makuti.


Wakazi hao wamekuwa wakimbwa na matatizo ya magonjwa ya matumbo ya mara kwa mara kutokana na kutumia maji haya ya kisima cha kienyeji.

Thursday, May 27, 2010

Kijakazi Yunus na Mazingira

Kijakazi Yunus ni Mtangazaji wa Pride FM Mtwara, hii ni mara yake ya kwanza kupiga picha za habari, yeye alimulika uharibifu wa Mazingira katika kujikimu kimaisha kwa mkata mkaa Masoud wa Kijiji cha Likwaya kata ya Matimba, Lindi Vijijini ,


Christopher Lilai na Kivuko cha Mto Lukuledi




Christopher Lilai, Mwandishi mwandamizi na Mwenyekiti wa Lindi Press Club ktk Mafunzo ya vitendo ya uwasilishi wa habari kwa njia ya picha alimulika adha waipatayo wakazi wa vijiji vya Mtumbya, Nyendegi na Mtandi la kukosa kivuko ktk Mto Lukuledi ambao unaunganisha vijiji hivyo ktk Wilaya ya Lindi Vijijini.

Denny Mkuchu - Miundombinu ya Wafugaji


D. Mkuchu, Mwandishi wa siku nyingi na mwakilishi wa ITV/Redio One mkoani Lindi, katika mafunzo kwa vitendo toka FTMT aliangalia tatizo la kutelekezwa kwa miundombinu Majosho na mabwawa ya Wafugaji ambayo imejengwa na serikali kwa gharama kubwa katika kijiji cha Marendego, Wilaya ya Kilwa na kufunguliwa kwa mbwembwe lakini haijawai kutumika.

Tuesday, May 18, 2010

lindi - Single images.

This is from Christopher Lilai on Lukuledi River.
From Said hamdani on Ruangwa artisan miners.
From Elibariki Mafore on disadvantaged groups.
From Mary Mpandula collection on early and school girl's pregnancy.
From Kijakazi Yunus collection on environment.
From Happy Severine gallery on Education.
From Athuman Mtepa gallery on infrastructure vandalism.





Most of these journalists are writing journalists who had never used cameras before, but after ten days of throughly coaching and practice they have managed to deliver the above results.

lindi - Single images D Mkuchu abandoned infrastructures


Lindi - Single images U Ibrahim

Utegele Ibrahim looks at water crisis in Mchinga village.


Wednesday, May 12, 2010

ERPC LINDI 2ND DAY




The second day.

LINDI ERPC 1st Day


1st of Effective Rural Photojournalism Coaching in Lindi Region by Flame Tree Media Trust under the support of Tanzania Media Fund in photos.









Popular Posts

Total Pageviews