Mariam Towers, 7th Floor, P.o Box 76965, Dar es Salaam. Email: ftmt.erpc@gmail.com
Monday, May 31, 2010
Elibariki Mafore
Afisa Habari wa Mkoa, Elibariki Mafore katika mafunzo haya ya Effectice Rural Photojournalism Coaching (ERPC) alitupia macho changamoto za makundi maalumu yakiwamo yale ya wasio na makazi maalumu ambao wengi wao udhaniwa kuwa wamerukwa na akili.
Happy Severine - Elimu vijijini na changamoto zake
Friday, May 28, 2010
Mary Mpandula na Elimu na mimba kwa wasichana
"ukitaka kumsaidia masikini somesha mtoto wake" Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwai kusema wakati fulani.
Mary Mpandula alimulika zaidi changamoto za elimu kwa watoto wa kike na zaidi ikiwa ni mimba zisizotarajiwa jinsi gani zimekuwa zikikatiza si tu ndoto za watoto wa kike kama Hatia na Hakika wa kijiji cha Nyangao, Wilaya ya Lindi vijijini katika Mkoa wa Lindi bali pia na wazazi wao, jamii na Taifa kwa ujumla.
Utegele Ibrahim na Changamoto ya maji safi Mchinga
Thursday, May 27, 2010
Kijakazi Yunus na Mazingira
Christopher Lilai na Kivuko cha Mto Lukuledi
Christopher Lilai, Mwandishi mwandamizi na Mwenyekiti wa Lindi Press Club ktk Mafunzo ya vitendo ya uwasilishi wa habari kwa njia ya picha alimulika adha waipatayo wakazi wa vijiji vya Mtumbya, Nyendegi na Mtandi la kukosa kivuko ktk Mto Lukuledi ambao unaunganisha vijiji hivyo ktk Wilaya ya Lindi Vijijini.
Denny Mkuchu - Miundombinu ya Wafugaji
D. Mkuchu, Mwandishi wa siku nyingi na mwakilishi wa ITV/Redio One mkoani Lindi, katika mafunzo kwa vitendo toka FTMT aliangalia tatizo la kutelekezwa kwa miundombinu Majosho na mabwawa ya Wafugaji ambayo imejengwa na serikali kwa gharama kubwa katika kijiji cha Marendego, Wilaya ya Kilwa na kufunguliwa kwa mbwembwe lakini haijawai kutumika.
Tuesday, May 18, 2010
lindi - Single images.
This is from Christopher Lilai on Lukuledi River.
From Said hamdani on Ruangwa artisan miners.
From Elibariki Mafore on disadvantaged groups.
From Mary Mpandula collection on early and school girl's pregnancy.
From Kijakazi Yunus collection on environment.
From Happy Severine gallery on Education.
From Athuman Mtepa gallery on infrastructure vandalism.
From Said hamdani on Ruangwa artisan miners.
From Elibariki Mafore on disadvantaged groups.
From Mary Mpandula collection on early and school girl's pregnancy.
From Kijakazi Yunus collection on environment.
From Happy Severine gallery on Education.
From Athuman Mtepa gallery on infrastructure vandalism.
Most of these journalists are writing journalists who had never used cameras before, but after ten days of throughly coaching and practice they have managed to deliver the above results.
Wednesday, May 12, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
-
Dear PT Blog leaders get ready for interesting and captivating single images from the Spices Island. Simple quiz!! Can any one guess the wha...
-
Juviniles in the minning by Fredrick Katulanda, Member of MPC and Mwananchi Communication Reporter.
-
Since the introduction of multipart system in early 1990s, the politics of Zanzibar have been marked by repeated clashes between two poli...
-
Opening the 3rd Exhibition in Paris, The French Minister for Culture and Communication, Frederic Mitterrand, said, "Mwanzo, I am dee...
-
Oliver Motto shed light on the life of four kids, lives on the own after their parents separation.
-
Utegele Ibrahim, ni Mwakilishi wa TBC Mkoani Lindi na ni Katibu wa LPC, yeye aliangalia changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kat...
-
Katika kipindi cha miaka kumi na sita tangu mwaka 1993 hadi 2010, kumekuwa kukiripotiwa taarifa mbalimbali za ujambazi na mauaji ya wanan...
-
Happy Severine, ni Mwandishi mwandamizi mkoani mtwara, aliangalia zaidi changamoto za elimu na kushuka ama kupanda kwake Lindi Vijijini. Ali...
-
FTMT Team arrived in Rocky on Tuesday for ten days coaching program. there after will head for Mara Region for the same purpose. EFFECTIV...
-
FTMT team is in Kigoma for the ERPC program, Kigoma or as it famously known as "Mwisho wa Reli" is the last of the six regions for...