Pages

Photography courses Announcement

Photography courses Announcement
Flame Tree Media Trust and Time School of Journalism announces Photography courses to begin soon at Talent Media Learning Centre at Ilala in Dar es Salaam, download this advert for more details.

Tuesday, August 31, 2010

Zenji class highlights.



Sharifa and Mgeni gets the insight of DSLR during ERPC program last week, watch out for their works here.

Monday, August 30, 2010

After Shinyanga, all the way to ZANZIBAR.

Dear PT Blog leaders get ready for interesting and captivating single images from the Spices Island.





Simple quiz!!
Can any one guess the what kind of stories will be coming from there?

or simply put, what stories do you expect?

Watch out this blog from tomorrow.

Friday, August 27, 2010

Je ni kwanini habari za vijijini ama mikoani ni chache?


Ktk ERPC, FTMT ilijaribu kutaka kupata maoni toka kwa washiriki kuhusu kwa nini wanadhani habari za Mikoani ni chache katika magazeti yetu?






Haya ni baadhi ya maoni toka kwa baadhi washiriki, kwa hakika katika mikoa ambapo programu hii imeshapita maoni yao yanaendana ama kushabihiana.




Canon EF 300mm f/2.8L IS II USM

Canon EF 300mm f/2.8L IS II USM

Sony Alpha a560

Sony Alpha a560

single images from Shinyanga,

KWASHAKOO NI UGONJWA UNAOSABABISHWA NA UKOSEFU WA VIRUTUBISHO MWILINI KUTOKANA NA KULA VYAKULA VYA AINA MOJA NA HII HASA NIKATIKA JAMII INAYOISHI MAENEO YA VIJIJINI KUTOKANA NA JAMII HIYO KUTOJIWEZA KWA KIPATO PAMOJA NA KUTOKUPATA ELIMU KUHUSU SUALA LA UGONJWA HUO,





Moses Augustine aliangalia changamoto hii ktk moja ya familia wilayani Bariadi.

Single images from Shinyanga,

Mauwaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi ( Albino) ambayo yaliibuka na kuenea kwa kasi hasa kanda ya ziwa kutokana na imani potofu za kishirikina, yameacha simanzi kubwa kwa baadhi ya watu waliokuwa tegemezi katika familia hizo.




Shija Felician alimulika mmoja wa waathirika hao Bi Craides Masunga (31)mkazi wa kijiji cha Bunyihuna Wilayani Bukombe Mkoani Shinyanga, mama huyo mzazi wa Matatizo Dunia aliyeuawa kutokana na ulemavu wa ngozi, Kijana huyo alikuwa ni tegemeo pekee kwa mama huyu.

single images from Shinyanga,

Raymond Mihayo na tumaini jipya kwa wasichana walioacha shule kutokana na kupata mimba lakini sasa wameweza kurejea tena kuendelea na masomo.

single images from Shinyanga,

Patrick Mabula aliangazia mila na desturi za kabila la wasukuma kupitia kwa Wande Bassu (28), mwanamama anayecheza ngoma ya Beni, ambayo uchezwa wakati wa kiangazi kwa wanawake na wanaume.

Single images from Shinyanga,


Mafanikio na changamoto za shule za kata na Steven Kidoyayi,

Monday, August 9, 2010

single images from Shinyanga,





Ester Sumira na maisha ya wafugaji mkoani humo kwa kuangalia maisha ya Mzee Sumuni Mhyeni (80) mkazi wa kijiji cha Mwamalili kata ya Nangale Wilaya ya Bariadi, Mzee huyu ni miongoni mwa wafugaji wakubwa wa ng’ombe,ambaye anajumla ya ng’ombe 600 pamoja na mbuzi 31.

Single images from Shinyanga,

Shinyanga ni mji maarufu sana kwa utajiri wa Almasi, Dhahabu, Ng'ombe na madini mengine, lakini pia mji huu wenye wakazi wapatao milion 3 una umaarufu mwingine ambao kwa kiasi kikubwa unafifisha umaarufu mwingine, nao ni mauaji ya vikongwe.








Moja ya sababu ya viokongwe hao kuuwawa kikatili ni imani za kishirikina na hasa kwa vikongwe kuonekana wana macho mekundu pasipo kufahamu kuwa matumizi ya kuni ama moshi wake waweza kuchangia tatizo hilo, Ali Lityawi katika ERPC alimulika tatizo hili kwa kina suala hilo. Hii ni moja tu ya picha kadhaa toka ktk kazi yake.

Popular Posts

Total Pageviews