
Mkurugenzi wa Halisi Publishers Saeed kubanea akieleza mafaniko yaliyotokana na ufadhili wa TMF.

Mkufunzi wa Picha za Habari wa FTMT Mwanzo millinga akimwonesha Waziri Nchimbi baadhi ya kazi za picha zilizotokana na mradi wa Effective Rural Photojournalism Coaching uliofadhiliwa na TMF.

Waziri wa Habari Emmanuel Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa TMF.

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dr Emmanuel Nchimbi akiwa na Meneja Mtendaji wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Ernest Sungura alipotemelea Mfuko huo siku tarehe 3/08/2011.
No comments:
Post a Comment