Ubadhilifu wa miundombinu kama barabara na wizi wa vifaa vya madaraja pamoja na mabomba ya alama za barabarani ni tatizo kubwa si tu kwa mkoa wa Lindi, ubadhilifu huu umekuwa ukileteleza madhara makubwa kwa jamii. Athuman Mtepa alimulika tatizo hili kwa kuangalia mmoja wa waadhirika.

No comments:
Post a Comment