Shinyanga ni mji maarufu sana kwa utajiri wa Almasi, Dhahabu, Ng'ombe na madini mengine, lakini pia mji huu wenye wakazi wapatao milion 3 una umaarufu mwingine ambao kwa kiasi kikubwa unafifisha umaarufu mwingine, nao ni mauaji ya vikongwe. Moja ya sababu ya viokongwe hao kuuwawa kikatili ni imani za kishirikina na hasa kwa vikongwe kuonekana wana macho mekundu pasipo kufahamu kuwa matumizi ya kuni ama moshi wake waweza kuchangia tatizo hilo, Ali Lityawi katika ERPC alimulika tatizo hili kwa kina suala hilo. Hii ni moja tu ya picha kadhaa toka ktk kazi yake.
1 comment:
Amiable fill someone in on and this mail helped me alot in my college assignement. Gratefulness you on your information.
Post a Comment