



Afisa Habari wa Mkoa, Elibariki Mafore katika mafunzo haya ya Effectice Rural Photojournalism Coaching (ERPC) alitupia macho changamoto za makundi maalumu yakiwamo yale ya wasio na makazi maalumu ambao wengi wao udhaniwa kuwa wamerukwa na akili.
Mariam Towers, 7th Floor, P.o Box 76965, Dar es Salaam. Email: ftmt.erpc@gmail.com








"ukitaka kumsaidia masikini somesha mtoto wake" Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwai kusema wakati fulani. 

Utegele Ibrahim, ni Mwakilishi wa TBC Mkoani Lindi na ni Katibu wa LPC, yeye aliangalia changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama katika kjiji cha Mchinga Mbili ambapo wakazi wake wapatao 3000 wanategemea kisima cha Msikiti wa Makuti.
Kijakazi Yunus ni Mtangazaji wa Pride FM Mtwara, hii ni mara yake ya kwanza kupiga picha za habari, yeye alimulika uharibifu wa Mazingira katika kujikimu kimaisha kwa mkata mkaa Masoud wa Kijiji cha Likwaya kata ya Matimba, Lindi Vijijini , 




Christopher Lilai, Mwandishi mwandamizi na Mwenyekiti wa Lindi Press Club ktk Mafunzo ya vitendo ya uwasilishi wa habari kwa njia ya picha alimulika adha waipatayo wakazi wa vijiji vya Mtumbya, Nyendegi na Mtandi la kukosa kivuko ktk Mto Lukuledi ambao unaunganisha vijiji hivyo ktk Wilaya ya Lindi Vijijini.




This is from Christopher Lilai on Lukuledi River.
From Said hamdani on Ruangwa artisan miners.
From Elibariki Mafore on disadvantaged groups.
From Mary Mpandula collection on early and school girl's pregnancy.
From Kijakazi Yunus collection on environment.
From Happy Severine gallery on Education.
From Athuman Mtepa gallery on infrastructure vandalism.