


Utegele Ibrahim, ni Mwakilishi wa TBC Mkoani Lindi na ni Katibu wa LPC, yeye aliangalia changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama katika kjiji cha Mchinga Mbili ambapo wakazi wake wapatao 3000 wanategemea kisima cha Msikiti wa Makuti.
Wakazi hao wamekuwa wakimbwa na matatizo ya magonjwa ya matumbo ya mara kwa mara kutokana na kutumia maji haya ya kisima cha kienyeji.

No comments:
Post a Comment