Pages

Photography courses Announcement

Photography courses Announcement
Flame Tree Media Trust and Time School of Journalism announces Photography courses to begin soon at Talent Media Learning Centre at Ilala in Dar es Salaam, download this advert for more details.

Friday, May 28, 2010

Mary Mpandula na Elimu na mimba kwa wasichana

"ukitaka kumsaidia masikini somesha mtoto wake" Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwai kusema wakati fulani.



Mary Mpandula alimulika zaidi changamoto za elimu kwa watoto wa kike na zaidi ikiwa ni mimba zisizotarajiwa jinsi gani zimekuwa zikikatiza si tu ndoto za watoto wa kike kama Hatia na Hakika wa kijiji cha Nyangao, Wilaya ya Lindi vijijini katika Mkoa wa Lindi bali pia na wazazi wao, jamii na Taifa kwa ujumla.


Mary ni Mtangazaji wa kituo cha Pride FM mkoani Mtwara naye ni mara ya kwanza kabisa kushika kamera na kuhabarisha kwa nijai ya picha.



No comments:

Popular Posts

Total Pageviews