Pages

Photography courses Announcement

Photography courses Announcement
Flame Tree Media Trust and Time School of Journalism announces Photography courses to begin soon at Talent Media Learning Centre at Ilala in Dar es Salaam, download this advert for more details.

Wednesday, June 2, 2010

Said Hamdan na wachimbaji wadogowadogo

Said Hamdan aliangaza juhudi za vijana katika kijiji cha Namajani katikati ya wilaya za Ruangwa na Kilwa na pilika zao za kusaka vito vya thaman ama dhahabu.

Vijana wengi pamoja na watoto pia wamevamia eneo hilo na kuendesha shughuri za uchimbaji mdogomdogo kwa kutumia vifaa hafifu na duni.


No comments:

Popular Posts

Total Pageviews