Mauwaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi ( Albino) ambayo yaliibuka na kuenea kwa kasi hasa kanda ya ziwa kutokana na imani potofu za kishirikina, yameacha simanzi kubwa kwa baadhi ya watu waliokuwa tegemezi katika familia hizo.
Shija Felician alimulika mmoja wa waathirika hao Bi Craides Masunga (31)mkazi wa kijiji cha Bunyihuna Wilayani Bukombe Mkoani Shinyanga, mama huyo mzazi wa Matatizo Dunia aliyeuawa kutokana na ulemavu wa ngozi, Kijana huyo alikuwa ni tegemeo pekee kwa mama huyu.
No comments:
Post a Comment