"ukitaka kumsaidia masikini somesha mtoto wake" Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwai kusema wakati fulani. Mary Mpandula alimulika zaidi changamoto za elimu kwa watoto wa kike na zaidi ikiwa ni mimba zisizotarajiwa jinsi gani zimekuwa zikikatiza si tu ndoto za watoto wa kike kama Hatia na Hakika wa kijiji cha Nyangao, Wilaya ya Lindi vijijini katika Mkoa wa Lindi bali pia na wazazi wao, jamii na Taifa kwa ujumla.



No comments:
Post a Comment