
© Wilson Elisha, Mwanza

© Vicky Macha, Kalenga

Utegele Ibrahim, Mchinga

Twalad Salum, Mwanza

Salim Twalib Omar, Micheweni

© Sheilla Sezzy, Ukerewe

© Steven Kidoyayi, Kahama

© Sellina Illunga, Iringa

© Shija Felician, Shinyanga

© Sima Bingileki, Iringa

© Raymond Mihayo, Kahama

© Patrick Mabula, Shinyanga

© Prosper Kwigize, Kibondo

© Oliver Richard, Kibebe

© Maulid Yusuf Ahmed, Umbuji

© Merry Mpandula, Lindi

© Merry Mpandula, Nyangao

© Mawazo Malembeka, Iringa

© Mwanzo Millinga, Kigoma

© Mgeni Khamis Kombo, Pemba

© Mwajabu Kigaza, Kigoma

© Mwinyimvua Abdi Nzukwi, Zanzibar

© Moses Augustine, Shinyanga

© Kijakazi Yunus, Lindi

© Khamis Mohamed Salum, Zanzibar

© Kassim Msoma, Kigoma

© John Sanjo, Mwanza

© Janeth Matondo, Kalenga, Iringa

© Jacob Ruvilo, Kigoma

© Jovither Kaijage, Ukerewe
Hebu tufike mahali tuheshimu makazi na malazi ya watu kwani huchangia sana kwa mtu kuweza kufanikisha (au kutokufanikisha) jukumu lake. Nina hakika mwalimu huyu angejua kuwa atalipwa fedha atakayoitumia kukarabati nyumba aliyohamia, asingekuwa na uvivu wa kuagiza mafundi wafanye hivyo, shida iliyoko, hatalipwa na hilo ndilo lililowakatisha tamaa waalimu wengi, nazungumza hivi kwa mfano hai wa ndugu zangu waalimu 6 walioahmishwa na kukumbwa na adha hii, mmoja amehamishwa mwaka 1992 hadi leo hajarejeshewa fedha zake pamoja na kuwakilisha risiti zote halali za ukarabati wa pango.
Nimekusoma vyema.
Ninauchukia uvivu.
Ninauchukia uzembe.
Inakera kiongozi anaposhindwa kumwajibisha mwananchi il hali amepewa dhamana ya kufanya hivyo, inakera zaidi kiongozi anapozembea na kutokutoa haki kwa Mwananchi.
Hii nchi hii?! we ngoja.
Jeshini tumejenga nyumba za makamanda na hata mahanga yetu, tumefyatua matofali, tumechoma moto. Gharama ya serikali ilikuwa kidogo sana. Shule niliyosoma almost 80% ya chakula tulikuwa tunalima wenyewe. Problem yetu we are not creative, hatuoni vitu muhimu exposed to us till they are gone. It is through stadi za kazi that poor teacher can have good house and ofcourse furniture. Awafundishe watoto kufyatua tofali, kujenga...he has manpower though pupils