Sharifa and Mgeni gets the insight of DSLR during ERPC program last week, watch out for their works here.
Mariam Towers, 7th Floor, P.o Box 76965, Dar es Salaam. Email: ftmt.erpc@gmail.com
Pages
Tuesday, August 31, 2010
Zenji class highlights.
Sharifa and Mgeni gets the insight of DSLR during ERPC program last week, watch out for their works here.
Monday, August 30, 2010
After Shinyanga, all the way to ZANZIBAR.
Dear PT Blog leaders get ready for interesting and captivating single images from the Spices Island. Friday, August 27, 2010
Je ni kwanini habari za vijijini ama mikoani ni chache?

Ktk ERPC, FTMT ilijaribu kutaka kupata maoni toka kwa washiriki kuhusu kwa nini wanadhani habari za Mikoani ni chache katika magazeti yetu?single images from Shinyanga,
KWASHAKOO NI UGONJWA UNAOSABABISHWA NA UKOSEFU WA VIRUTUBISHO MWILINI KUTOKANA NA KULA VYAKULA VYA AINA MOJA NA HII HASA NIKATIKA JAMII INAYOISHI MAENEO YA VIJIJINI KUTOKANA NA JAMII HIYO KUTOJIWEZA KWA KIPATO PAMOJA NA KUTOKUPATA ELIMU KUHUSU SUALA LA UGONJWA HUO,
Moses Augustine aliangalia changamoto hii ktk moja ya familia wilayani Bariadi.
Single images from Shinyanga,
Mauwaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi ( Albino) ambayo yaliibuka na kuenea kwa kasi hasa kanda ya ziwa kutokana na imani potofu za kishirikina, yameacha simanzi kubwa kwa baadhi ya watu waliokuwa tegemezi katika familia hizo.
Shija Felician alimulika mmoja wa waathirika hao Bi Craides Masunga (31)mkazi wa kijiji cha Bunyihuna Wilayani Bukombe Mkoani Shinyanga, mama huyo mzazi wa Matatizo Dunia aliyeuawa kutokana na ulemavu wa ngozi, Kijana huyo alikuwa ni tegemeo pekee kwa mama huyu.
single images from Shinyanga,
single images from Shinyanga,
Tuesday, August 17, 2010
Monday, August 9, 2010
single images from Shinyanga,
Single images from Shinyanga,
Shinyanga ni mji maarufu sana kwa utajiri wa Almasi, Dhahabu, Ng'ombe na madini mengine, lakini pia mji huu wenye wakazi wapatao milion 3 una umaarufu mwingine ambao kwa kiasi kikubwa unafifisha umaarufu mwingine, nao ni mauaji ya vikongwe. Popular Posts
-
Opening the 3rd Exhibition in Paris, The French Minister for Culture and Communication, Frederic Mitterrand, said, "Mwanzo, I am dee...
-
"SILENT VOICES" at Allliance Francaise in Dar es Salaam along Ali Hassan Mwinyi near Las Vegas, opened on Thursday 28 April will r...
-
Ufyatuaji, uuzaji na utumiaji wa tofali za kuchoma mkoani Kigoma ulimulikwa za Edward Kigadye.
-
Shinyanga ni mji maarufu sana kwa utajiri wa Almasi, Dhahabu, Ng'ombe na madini mengine, lakini pia mji huu wenye wakazi wapatao milion ...
-
Ktk ERPC, FTMT ilijaribu kutaka kupata maoni toka kwa washiriki kuhusu kwa nini wanadhani habari za Mikoani ni chache katika magazeti yetu? ...
-
Na Christopher Lilai/ftmt/TMF Ukosefu wa daraja kwenye mto Lukuledi unaounganisha Makao Makuu ...
-
Liko tatizo kubwa la ujenzi na utumiaji wa vyoo hasa kwa wakazi wa Kilwa, Abdulaziz ahmed aliangaza tatizo hilo kwa njia ya picha.

Raymond Mihayo na tumaini jipya kwa wasichana walioacha shule kutokana na kupata mimba lakini sasa wameweza kurejea tena kuendelea na masomo.










