

Deogratias Nsokolo na maisha ya wana Kigoma kupitia kwa Mzee Ezekiel Anthony mkazi wa Kijiji cha Kazuramimba, Kigoma Vijijini.‘Hali ni ngumu sana, nina watoto wanane na wanne kati yao ni walemavu wa viungo kama vile mimi na mke wangu tulivyo na ninachokipata hakikidhi mahitaji ya familia na suala la mavazi na kumudu gharama za matibabu ni tatizo kubwa”anasema Mzee Ezekiel
No comments:
Post a Comment