
Katika kuimarisha hali za wananchi kiuchumi hususani makundi maalum kumekuwa na jitihada za kuwahamasisha wananchi kuanzisha miradi mbali ya kiuchumi.
Mfano wa miradi hiyo ni mfuko wa maendeleo ya wananchi (TASAF), mradi shirikishi wa maendeleo ya kilimo na uwezeshaji (PADEP), mradi wa usimamizi wa mazingira ya bahari na ukanda wa pwani (MACEMP) nk, ambayo imelenga katika kuimarisha hali za wananchi katika kupambana na umaskini.Mafanikio na changamoto za miradi hii lilimulikwa na Mwinyimvua Abdi Nzuki.
No comments:
Post a Comment