Ziwa Tanganyika ambalo ni la pili kwa kuwa na kina kirefu zaidi Ulimwenguni likitanguliwa na Ziwa Baikal lililopo Urusi, lipo kwenye Bonde la Ufa na limezungukwa na nchi za Tanzania kwa upande wa Mashariki, Kaskazini ipo Burundi, upande wa Kusini kuna nchi ya Zambia na DR Congo ipo Magharibi.
Uharamia kwa wavuvi katika ziwa hili ni tatizo kubwa sana, wapo wavuvi waliopoteza maisha na mali zao ama kupata ulemavu na baadhi ya familia kubaki ukiwa baada ya kuondokewa na baba, Anthony Kayanda alimulika tatizo, hii ni moja ya picha toka katika stori yake hii.
No comments:
Post a Comment