VITUO vingi vya afya vijijini nchini, vinakabiliwa na changamoto mbali mbali zikiwemo za miundo mbinu, ukosefu wa madaktari na wahudumu wa afya, ukosefu wa madawa na vifaa vya maabara.
"Nilitembelea zahanati ya kijiji cha Umbuji na kuona hali yake. Zahanati hii ambayo ipo katika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, ni miongoni mwa zahanati zilizopo Zanzibar vijijini ambazo zinakabiliwa na changamoto kama hizo." Maulid Yusuf Ali Mwandishi Mwandamizi TVZ.
No comments:
Post a Comment