Pages

Photography courses Announcement

Photography courses Announcement
Flame Tree Media Trust and Time School of Journalism announces Photography courses to begin soon at Talent Media Learning Centre at Ilala in Dar es Salaam, download this advert for more details.

Tuesday, December 7, 2010

ERPC future plans

ERPC future plans

ERPC second phase is to curate an exhibition to tour some regions and produce a photo book that will show case all participant's work by next year.


The program funded by Tanzania media Fund coached sixty press club members from six regions, namely: Lindi, Iringa, Mwanza, Shinyanga, Zanzibar and Kigoma.


Above is a sample of how exhibition of participant's work will look like.

Kigoma single images















Maternal Health also poses a great challenge in the country to expecting mothers, Mwajabu Kijazi focused on the subject.

Kigoma single images















Education sector in Tanzania faces many challenges, among them is desks, many primary school lacks school desks, Mahanga Primary School at Ilagala Ward, Kigoma Rural is no exception, Kasimu Msoma a Veteran Kigoma Journalist shade lights on this challange.

Kigoma single images















Jacob Luvilo, Radio and Television journalist deals with Teachers housing challenges in Kigoma region that forced some teachers to live in the school offices as the case with Reli Mpya Primary School at Nyangabo Village in Nguruka Ward.

Monday, November 1, 2010

kigoma single images


Mkoa wa Kigoma unakabiliwa na changamoto nyingi lakini kubwa ni usafiri.

Train ndio kimbilio na msaada mkubwa kwa walio wengi, toka (1918 tangu reli hiyo ilipoanzishwa) enzi na enzi kutokana na unafuu wake.



Pamoja na kuwa ni tegemeo, usafiri huu unakabiliwa na changamoto za hapa na pale ikiwa ni pamoja na ukosefu wa huduma bora za usafiri,uchakavu wa mabehewa pamoja na njia ya reli ambayo ni ya muda mrefu.


Jumanne Gange anaangalia changamoto hizi.

Kigoma single images



Katika miaka ya hivi karibuni nchi yetu imekumbwa na wimbi la mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino), ambayo chanzo chake kikubwa ni imani potofu za kishirikina kwa baadhi ya wanajamii, wenye kupenda utajiri wa haraka.




Hali hiyo imesababisha baadhi ya Albino nchini kulazimika kuishi katika vituo mbali mbali, mbali na jamii yao kwa kuhofia usalama wao.


Mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi kwa minajiri ya kupata viungo vyao kwa imani za kishirikina yalileta sifa mbaya sana kwa taifa letu, Boniface Mpagape alimulika kambi ya Kabanga wilayani Kasulu

Kigoma single images


Katika kipindi cha miaka kumi na sita tangu mwaka 1993 hadi 2010, kumekuwa kukiripotiwa taarifa mbalimbali za ujambazi na mauaji ya wananchi yanayofanywa na watu wanaotajwa kuwa majambazi sugu wanaotumia silaha za moto kufanya uporaji katika barabara mbalimbali na maeneo ya makazi na biashara hapa nchini.



Katika kipindi cha mwaka 2006 na 2007 jumla ya matukio ya mauaji 3583 sawa na asilimia 37.2 yaliripotiwa kwa jeshi la polisi na mengi kati ya hayo yanatajwa kusababishwa na watu kuwania mali, ubakaji, mauaji ya kishirikina, ujambazi wa utekaji wa magari na uvunjaji pamoja na wivu wa kimapenzi.



Katika wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wastani wa matukio 10 hadi 20 hutokea kila mwaka na kusababisha vifo vya watu na upotevu mkubwa wa mali unaofanywa na majambazi ambao huteka mgari na kuwashambulia abiria kwa risasi kwa lengo la kupora mali.




Prosper Kwigize aliangalia kwa undani tatizo hilo ikiwa ni pamoja na familia zilizokubwa na kadhia hii huko Kibondo, Kigoma.

Friday, October 22, 2010

Photojournalism

Photojournalism is a particular form of journalism (the collecting, editing, and presenting of news material for publication or broadcast) that creates timeliness, objective and narrative images in order to tell a news story.



We at FTMT hope that our newspapers in the future will venture into this kind of visual reporting and shade lights into grass root issues in our society.



Photojournalism has the power to shape and change our society via issues raised.

Wednesday, September 29, 2010

Changamoto ya Mto Lukuledi- the full story

Na Christopher Lilai/ftmt/TMF









Ukosefu wa daraja kwenye mto Lukuledi unaounganisha Makao Makuu ya Kata ya Nyengedi na Kijiji cha Mtumbya wilayani Lindi vijijini, kunawafanya wananchi wa vijiji hivyo na wale wa kitongoji cha Mtandi kuwa na wakati kwa kipindi chote cha mwaka hasa wakati wa masika ambapo mto huo ujaa kiasi cha watu kuwa hatarini kupoteza maisha.






Wakazi hao wapatao 1,342 ulazimika kutumia usafiri wa mtumbwi na kamba kuvuka mto huo ambao una mamba wengi ili kwenda upande wa pili wa mto ambako ni makazi kwa wale wa kijiji cha Mtumbya na wa Kitongoji cha Mtandi ambacho ni sehemu ya kijiji cha Nyengendi na wale mashamba ya wanakijiji wengi wa Nyegedi.






Kwa mujibu wa wakazi wa vijiji hivyo kila mwaka watu kati ya watatu hadi watano upoteza maisha baada ya kusombwa na maji ya mto huo na wengi kunusurikana mamba.





Mmiliki wa mtumbwi ambao unatumika hivi sasa kuwavushia watu Bw. Kawanga Abuswamadi Kawanga ameleeza kuwa kila siku mtumbwi wake uvusha watu wapatao sitini ambapo uchangia kiasi cha shilingi mia moja kwa kila mtu na wale ambao ufanya shughuli za kilimo ulazimika kutoa debe moja la mazao ya nafaka ya mahindi,mtama au mpunga.




Bw Kawanga ambae ni mmoja kati ya waliowahi kushambuliwa nakujeruhiwa na mamba kwenye mto huo ameleza kuwa serikali kupitia Diwani wa kata hiyo ilipeleka mtumbwi mmoja ili kusaidia wanachi kuwavusha lakini hata hivyo mtumbwi huo ulisombwa na maji ambayo upita kwa kasi kubwa.









.Naye Afisa mtendaji wa kata ya Nyengedi,Bw,Exvery Ngomo amekiri kuwepo tatizo hilo ambalo licha ya kuathiri utendaji wake wa kazi na shunghuli za kilimo kwa wananchi wanaolima upande wa pili wa mto pia, amesema inahatarisha maisha ya wanafunzi wa kitongoji cha Mtandi ambao wanasoma shule ya msingi ya Nyengedi.





Habari hii ilitoka katika Gazeti la Mwananchi Tarehe 28/09/2010 ISSN 0856-7573 Na 03750.

Monday, September 27, 2010

Kigoma single images


Ufyatuaji, uuzaji na utumiaji wa tofali za kuchoma mkoani Kigoma ulimulikwa za Edward Kigadye.

Kigoma single images


Deogratias Nsokolo na maisha ya wana Kigoma kupitia kwa Mzee Ezekiel Anthony mkazi wa Kijiji cha Kazuramimba, Kigoma Vijijini.






‘Hali ni ngumu sana, nina watoto wanane na wanne kati yao ni walemavu wa viungo kama vile mimi na mke wangu tulivyo na ninachokipata hakikidhi mahitaji ya familia na suala la mavazi na kumudu gharama za matibabu ni tatizo kubwa”anasema Mzee Ezekiel

Friday, September 24, 2010

Images from Kigoma


Ziwa Tanganyika ambalo ni la pili kwa kuwa na kina kirefu zaidi Ulimwenguni likitanguliwa na Ziwa Baikal lililopo Urusi, lipo kwenye Bonde la Ufa na limezungukwa na nchi za Tanzania kwa upande wa Mashariki, Kaskazini ipo Burundi, upande wa Kusini kuna nchi ya Zambia na DR Congo ipo Magharibi.


Uharamia kwa wavuvi katika ziwa hili ni tatizo kubwa sana, wapo wavuvi waliopoteza maisha na mali zao ama kupata ulemavu na baadhi ya familia kubaki ukiwa baada ya kuondokewa na baba, Anthony Kayanda alimulika tatizo, hii ni moja ya picha toka katika stori yake hii.

Tuesday, September 21, 2010

Zenji single images

Katika kuimarisha hali za wananchi kiuchumi hususani makundi maalum kumekuwa na jitihada za kuwahamasisha wananchi kuanzisha miradi mbali ya kiuchumi.

Mfano wa miradi hiyo ni mfuko wa maendeleo ya wananchi (TASAF), mradi shirikishi wa maendeleo ya kilimo na uwezeshaji (PADEP), mradi wa usimamizi wa mazingira ya bahari na ukanda wa pwani (MACEMP) nk, ambayo imelenga katika kuimarisha hali za wananchi katika kupambana na umaskini.

Mafanikio na changamoto za miradi hii lilimulikwa na Mwinyimvua Abdi Nzuki.

More Zenji images













Tatizo la utumiaji wa madawa ya kulevya kwa vijana, wake kwa waume na hasa mijini ni kubwa sana kwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, hii ilipelekea Khamis Mohamed Salum kumulika suala hili.

More from Zenji

Salim Talib Omar alifuatilia uchongaji wa matofari ya mawe huko Micheweni, Pemba.

More single images from Zanzibar


VITUO vingi vya afya vijijini nchini, vinakabiliwa na changamoto mbali mbali zikiwemo za miundo mbinu, ukosefu wa madaktari na wahudumu wa afya, ukosefu wa madawa na vifaa vya maabara.




"Nilitembelea zahanati ya kijiji cha Umbuji na kuona hali yake. Zahanati hii ambayo ipo katika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, ni miongoni mwa zahanati zilizopo Zanzibar vijijini ambazo zinakabiliwa na changamoto kama hizo." Maulid Yusuf Ali Mwandishi Mwandamizi TVZ.

Monday, September 6, 2010

FTMT TEAM IN KIGOMA,



FTMT team is in Kigoma for the ERPC program,

Kigoma or as it famously known as "Mwisho wa Reli" is the last of the six regions for 2010 - 11 Rural Photojournalism coaching program, others are Lindi, Iringa, Mwanza, Shinyanga and Zanzibar.


Thursday, September 2, 2010

Singleimages from Zanzibar









Since the introduction of multipart system in early 1990s, the politics of Zanzibar have been marked by repeated clashes between two political parties, CCM and CUF.










Contested elections in late 2000 led to a massacre in Zanzibar in January 2001 when the government shot into crowds of protestors, killing more than twenty people and injuring about 600. Sharifa Rashid Said interviewed the some of the widows and victims in Pemba.

singleimages from Zanzibar









A large proportion of the Zanzibar export earnings come from cloves. The greatest concentration of clove trees is found on Pemba, as growing conditions here are superior to those on Unguja Island.






During the clove blooming season, visitors are welcomed by the scents of cloves or “marashi ya karafuu” and the songs of honeybees looking for nectar. Because of higher rainfall it receives annually and the dense clove plantations, Pemba is always green, Ms Mgeni Khamis Kombo, from Pemba Press Club sheds light on the clove farming and the welfare of its farmers.

singleimages from Zanzibar


On August 9, 2010 members of the Zanzibar House of Representatives discussed and overwhelmingly endorsed the island’s 10th constitutional amendment, which paves the way for the formation of the Government of National Unity (GNU) between rival parties after the October general elections.








This followed the referendum results held on July 31 adopted by 66.4 percent of voters to form the GNU after a long time political turmoil between CCM and CUF parties. Haroub Hussein Khamis interviwed some of the Islanders and get their opinion the coming government.

Singleimages from Zanzibar

Malaria ni janga la kitaifa si tu Tanzania bali Afrika nzima, Zanzibar inasifika na kupigiwa mfano kama ni nchi iliyopiga hatua kubwa katika kutokomeza ugonjwa huu, Haji Khatibu Haji aliangalia kwa kina mafanikio hayo za Zenji katika kutokomeza Malaria.

Tuesday, August 31, 2010

Zenji class highlights.



Sharifa and Mgeni gets the insight of DSLR during ERPC program last week, watch out for their works here.

Monday, August 30, 2010

After Shinyanga, all the way to ZANZIBAR.

Dear PT Blog leaders get ready for interesting and captivating single images from the Spices Island.





Simple quiz!!
Can any one guess the what kind of stories will be coming from there?

or simply put, what stories do you expect?

Watch out this blog from tomorrow.

Friday, August 27, 2010

Je ni kwanini habari za vijijini ama mikoani ni chache?


Ktk ERPC, FTMT ilijaribu kutaka kupata maoni toka kwa washiriki kuhusu kwa nini wanadhani habari za Mikoani ni chache katika magazeti yetu?






Haya ni baadhi ya maoni toka kwa baadhi washiriki, kwa hakika katika mikoa ambapo programu hii imeshapita maoni yao yanaendana ama kushabihiana.




Canon EF 300mm f/2.8L IS II USM

Canon EF 300mm f/2.8L IS II USM

Sony Alpha a560

Sony Alpha a560

single images from Shinyanga,

KWASHAKOO NI UGONJWA UNAOSABABISHWA NA UKOSEFU WA VIRUTUBISHO MWILINI KUTOKANA NA KULA VYAKULA VYA AINA MOJA NA HII HASA NIKATIKA JAMII INAYOISHI MAENEO YA VIJIJINI KUTOKANA NA JAMII HIYO KUTOJIWEZA KWA KIPATO PAMOJA NA KUTOKUPATA ELIMU KUHUSU SUALA LA UGONJWA HUO,





Moses Augustine aliangalia changamoto hii ktk moja ya familia wilayani Bariadi.

Single images from Shinyanga,

Mauwaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi ( Albino) ambayo yaliibuka na kuenea kwa kasi hasa kanda ya ziwa kutokana na imani potofu za kishirikina, yameacha simanzi kubwa kwa baadhi ya watu waliokuwa tegemezi katika familia hizo.




Shija Felician alimulika mmoja wa waathirika hao Bi Craides Masunga (31)mkazi wa kijiji cha Bunyihuna Wilayani Bukombe Mkoani Shinyanga, mama huyo mzazi wa Matatizo Dunia aliyeuawa kutokana na ulemavu wa ngozi, Kijana huyo alikuwa ni tegemeo pekee kwa mama huyu.

Popular Posts

Total Pageviews